MESSI AMSIFU CRISTIANO RONALDO

SHARE:

Staa wa soka wa timu ya Barcelona, Lionel Messi amesema kwamba huwa anapenda jinsi mashabiki wa soka duniani pamoja na vyombo vya habari ...

Staa wa soka wa timu ya Barcelona, Lionel Messi amesema kwamba huwa anapenda jinsi mashabiki wa soka duniani pamoja na vyombo vya habari vinavyowalinganisha (Messi na Ronaldo). Ronaldo ametupia magoli 16 katika mechi 10 za mwisho ambapo Real Madrid waliweza kutwa taji la ubingwa wa ligi kuu wa Hispania (La Liga) kwa msimu wa pili mfululizo na kushinda kombe la ligi ya klabu bingwa Ulaya kwa msimu wa pili mfululizo pia.
“Hapana, mara zote nimekuwa nikisema hili, kwamba [Ronaldo] kwa upande wake – anang’ara zaidi kwa uwepo wetu sote,” kituo cha ESPN kilimkariri Messi as akiiambia Tencent.
“Sisi sote tunajituma ili tupate matokeo mazuri kwa timu zetu, na linalosemwa nje ya hayo  sidhani kama ni muhimu sana. Ronaldo ni mchezaji bora mwenye kiwango cha juu sana,” amesema Messi.
“Dunia nzima inajua, na ndiyo sababu yeye ni miongoni mwa wachezaji bora kabisa duniani. Kila msimu mpya unapoanza, mchezaji unatakiwa kuwa bora kuliko msimu uliopita. Tunacheza ili tupate matokeo mazuri, tushinde mataji  zaidi na kuingia kwenye fainali ya klabu bingwa Ulaya na pia kushinda ubingwa wa La Liga.”
“Mwaka huu haukuwa wetu. Tulijaribu kwa uwezo wetu wote, lakini  ikashindikana; tukaishia kwenye kombe la Mfalme. Tunategemea msimu unaokuja utakuwa mzuri kwetu kwa maana ya kushinda mataji,” alimalizia Messi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MESSI AMSIFU CRISTIANO RONALDO
MESSI AMSIFU CRISTIANO RONALDO
https://4.bp.blogspot.com/-_4d6mCLLaW8/WUvN2N2L8JI/AAAAAAAAceo/T1usGDoVi-sKXZaxvA_EEkQPg8N-tc7mACLcBGAs/s1600/x201404291434524513434-p5-750x375.jpg.pagespeed.ic.8OvWurIfUw.webp
https://4.bp.blogspot.com/-_4d6mCLLaW8/WUvN2N2L8JI/AAAAAAAAceo/T1usGDoVi-sKXZaxvA_EEkQPg8N-tc7mACLcBGAs/s72-c/x201404291434524513434-p5-750x375.jpg.pagespeed.ic.8OvWurIfUw.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/messi-amsifu-cristiano-ronaldo.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/messi-amsifu-cristiano-ronaldo.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy