MHARIRI WA GAZETI LA MAWIO AELEZA ALIVYOPIGIWA SIMU ZA VITISHO

SHARE:

Mkurugenzi wa Kampuni ya Victoria Media Services Ltd ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la MAWIO lililofungiwa kwa miezi 24 (miaka ...

Mkurugenzi wa Kampuni ya Victoria Media Services Ltd ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la MAWIO lililofungiwa kwa miezi 24 (miaka 2) amesema kuwa amepokea simu za vitisho kutoka kwa watu asiowafahamu.
Simon Martha Mkina aliyasema hayo jana alipokuwa akifanya mahojiano na Shirika la Habari la Ufaransa, AFP kuwa amepokea takribani simu tatu za vitisho ikiwa ni siku chache tangu serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ilipolifungia gazeti la MAWIO.
Simon Mkina (katikati) alipokuwa akitoka Kituo cha Polisi Dar es Salaam. (Picha ya maktaba)
Mkina alisema kuwa miongoni mwa simu hizo tatu, moja ilikuwa sauti ya mwanaume ambapo alimtisha na kukata simu. Alisema kuwa haikuonyesha namba yake hivyo hakuweza kumpigia tena ili kuweza kujua sababu za kumtisha na yeye ni nani.
Mkina alisema kuwa alitoa taarifa kituo cha Polisi ambapo walimwambia itakuwa vigumu kufanya jambo lolote kwa sababu simu hizo zilipigwa na watu wasiofahamika na namba zao hazifahamiki.
Uamuzi wa kulifungia gazeti hilo ulitangazwa Wizara ya Habari ambapo sababu iliyotajwa ni gazeti hilo kukiuka maagizo ya serikali ya kutowahusisha marais wastaafu Mzee Mkapa na Dkt Kikwete katika ripoti za uchunguzi wa mchanga wa madini.
Hii ni mara ya pili kwa gazeti hilo kufungiwa kwani, Januari 2016 aliyekuwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye alitangaza kulifungia kwa muda usiojulikana baada ya kuchapisha habari iliyodaiwa ni ya uchochezi. Habari hiyo ilikuwa na kichwa cha habari kinachosomeka “Machafuko yaja Zanzibar.” Uamuzi huo ulipingwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Machi mwaka huu na gazeti hilo kurejea mtaani kabla ya kufungiwa tena.
The Citizen

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MHARIRI WA GAZETI LA MAWIO AELEZA ALIVYOPIGIWA SIMU ZA VITISHO
MHARIRI WA GAZETI LA MAWIO AELEZA ALIVYOPIGIWA SIMU ZA VITISHO
https://3.bp.blogspot.com/-PeP9VoFuq9M/WUeyRy0BR5I/AAAAAAAAcZM/XeNr9h4C9sI61PgRUQRlKFXz0wxfHiRWQCLcBGAs/s1600/x19022229_401-700x375.jpg.pagespeed.ic.8o9nGNFhf7.webp
https://3.bp.blogspot.com/-PeP9VoFuq9M/WUeyRy0BR5I/AAAAAAAAcZM/XeNr9h4C9sI61PgRUQRlKFXz0wxfHiRWQCLcBGAs/s72-c/x19022229_401-700x375.jpg.pagespeed.ic.8o9nGNFhf7.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/mhariri-wa-gazeti-la-mawio-aeleza.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/mhariri-wa-gazeti-la-mawio-aeleza.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy