MRITHI WA JOHN BOCCO ATOA AHADI YA KUFANYA KWELI AZAM FC, ACHAGUA JEZI NAMBA 7

SHARE:

Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Wazir Junior amewatoa wasiwasi mashabiki wa timu hiyo akiwaambia kuwa hatowaangusha. Junior ameyesaini mk...

Mshambuliaji mpya wa Azam FC, Wazir Junior amewatoa wasiwasi mashabiki wa timu hiyo akiwaambia kuwa hatowaangusha.
Junior ameyesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo jana, akiwa ametua kikosini hapo baada ya klabu hiyo kumruhusu straika John Bocco aliyetua Simba.

Waziri ameyasema hayo wakati akitambulishwa leo Jumanne asubuhi na Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd, aliyekuwa sambamba na meneja wa timu, Phillip Alando na meneja wa mchezaji huyo, Abdallah Bawazir.
Mshambuliaji huyo amesema kuwa anafurahishwa kujiunga na Azam FC huku akidai zilikuwa ni ndoto zake za muda mrefu kutua kwa mabingwa hao.
“Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kwa kujiunga na Azam FC, pili naishukuru timu yangu ya Toto African niliyocheza misimu miwili, nashukuru ushirikiano wa wachezaji wenzangu pamoja na viongozi na mashabiki, kingine nimefurahi kujiunga na Azam FC,” alisema.
Alisema kuwa anaamini ya timu hiyo ndio mahali pake sahihi kwa kuendeleza kipaji chake huku akidai kuwa itamwezesha kufika mbali kwa kutimiza malengo yake ya kufika mbali yaani kucheza soka la kulipwa nje ya nchi.
“Kwa hiyo nahitaji tu ushirikiano kwa mashabiki na wachezaji wenzangu, mashabiki wasiwe na wasiwasi waje kuisapoti timu yao uwanjani na nawahakikishia sitawaangusha,” alisema ambaye amechagua kuvaa jezi namba saba.
Kwa upande wake, Jaffar, alisema kuwa wataendelea na zoezi hilo la usajili kwa kusajili wachezaji wengine kwa mujibu wa mapendekezo ya Kocha Mkuu, Aristica Cioaba.
“Kocha ameridhishwa na uwezo wa Wazir (Junior), uongozi ukapambana kuhakikisha unapata saini ya mchezaji huyo na hatimaye tumefanikiwa, ndio kwanza usajili tunauanza, lakini bado hizi ni kama mvua sa lashalasha na masika yanakuja,” alisema.

Mshambuliaji huyo aliyefunga mabao saba msimu uliopita akiwa na Toto African, amekabidhiwa jezi namba saba atakayokuwa akitumia msimu ujao, awali ilivaliwa na mshambuliaji aliyekuwa kwa mkopo Mtibwa Sugar, Kelvin Friday, kabla ya msimu uliopita Shaaban Idd kuitumia kwenye mechi za kimataifa za Kombe la Shirikisho Afrika (CC).

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MRITHI WA JOHN BOCCO ATOA AHADI YA KUFANYA KWELI AZAM FC, ACHAGUA JEZI NAMBA 7
MRITHI WA JOHN BOCCO ATOA AHADI YA KUFANYA KWELI AZAM FC, ACHAGUA JEZI NAMBA 7
https://3.bp.blogspot.com/-CK0ZYmESjnA/WTfLm3wg8JI/AAAAAAAAcPQ/a-KC19GIuPkEJCmxV1djg2YoaUYJrXTngCLcB/s1600/Wazir-JR-Azam.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-CK0ZYmESjnA/WTfLm3wg8JI/AAAAAAAAcPQ/a-KC19GIuPkEJCmxV1djg2YoaUYJrXTngCLcB/s72-c/Wazir-JR-Azam.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/mrithi-wa-john-bocco-atoa-ahadi-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/mrithi-wa-john-bocco-atoa-ahadi-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy