MRITHI WA PROF. MUHONGO KUWASILISHA BAJETI YA WIZARA APATIKANA

Waziri wa Viwanda, Biashara ya Uwekezaji, Charles Mwijage ndiye anayewasilisha makadirio ya matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwa wa fedha 2017/18.
Waziri Mwijage ameteuliwa kuwasilisha bajeti hiyo leo bungeni baada ya Rais Dkt Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo Mei 24 mwaka huu ikiwa ni wiki moja kabla ya bajeti kuwasilishwa.
Related imageWaziri wa Viwanda, Biashara ya Uwekezaji, Charles Mwijage
Katika bajeti hiyo inayowasilishwa leo, majadala katika sekta ya madini ndio unatarajiwa kuchukua nafasi kubwa kutokana na ripoti ya Prof. Mruma iliyowasilishwa kwa Rais kuhusu makinikia yaliyozuiwa bandarini.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post