MSIKITI WAGOMA KUZIKA MWILI WA ALIYEFANYA SHAMBULIZI MANCHESTER

Msikiti Mkubwa katika Jiji la Manchester umegoma kuuzika na kujihusisha na mazishi ya kijana aliyefanya shambulio lililouwa watu 22 hivi karibuni katika onesho la muziki Jijini Manchester na kujeruhi wengine wengi.
Mpaka sasa taarifa zinasema mwili wa kijana huyo bado upo katika chumba cha kuhifadhia maiti.
Maafisa wanaohusika na mazishi pia wamekataa kuuzika mwili wa kijana Salman Abedi ikiwa ni kuepusha mwili wa kijana huyo kuzikwa katika ardhi ya jiji la Manchester.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post