MUSIC: STEVE RNB AMEKULETEA MPYA INAYOITWA “DAWA”

Baada ya ngoma ya “Twende Wote” kufanya poa kitaani hadi kufikia hatua ya kuumiza kwenye jiwe la wiki kwenye kipindi cha XXL cha Clouds fmSteve RnB amerudi tena kitaani na kazi nyingine ambayo kaipa jina la Dawa.
Ngoma imefanyika katika studio za C9 Records na imewekwa exclusive katika platform ya Wasafi.Com, bonyeza button hii hapa chini ili uweze kuidownload
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post