POLISI MOSHI WAZUIA MWILI WA MZEE NDESAMBURO KUZUNGUSHWA MITAANI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Moshi limezuia utaratibu wa kuaga mwili wa marehemu Mzee Philemon Ndesambaro kwa kuutembeza katika barabara za viunga vya manispaa hiyo kwa madai kuwa utasababisha maandamano ambayo yamepigwa marufuku.
Awali, mmoja wa wanakamati ya mazishi,  Anthony Komu alisema kuwa mwili huo ungetolewa KCMC na kisha kupitishwa maeneo kadhaa ya Manispaa hiyi ili kuwapa fursa wale ambao hawataweza kufika Majengo, kutoa heshima zao za mwisho huko mitaani.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post