POLISI SHINYANGA AMKABA KOO BODABODA NA KUSABABISHA AJALI ILIYOMUUA PAPO HAPO

SHARE:

Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Jumanne Murilo alisema kuwa askari alimkaba Mamla kama njia ya kujihami kutokana na dereva huyo kuele...

Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Jumanne Murilo alisema kuwa askari alimkaba Mamla kama njia ya kujihami kutokana na dereva huyo kuelekeza pikipiki mahala tofauti na kituo cha polisi huku akimwambia lazima wafe wote na ndipo askari huyo alipoanza kujihami na kusababisha ajali ambayo kwa bahati mbaya imezua kifo.
SHINYANGA
Mwendesha bodaboda Joel Gabriel Mamla (26) wa Shinyanga mjini alifariki dunia juzi katika ajali iliyotokea katika barabara kuu ya Mwanza -Tabora wakiwa kwenye mwendo kasi kutokana na kukabwa koo na askari polisi PC Edmund, aliyempakia na kuanguka kutoka kwenye pikipiki hiyo na kupasuka kichwa kilipogonga jiwe baada ya kukabwa shingo na polisi huyo alipokamatwa na kuamriwa waende kituoni. Imedaiwa kuwa alifariki dunia baada ya kuanguka kutoka kwenye pikipiki ambayo iligonga nguzo ya barabarani.
Wakisimulia tukio hilo, mashuhuda walisema kuwa waliona mwendesha pikipiki na abiria wake wakivutana mikono na kupigana, hivyo kusababisha pikipiki hiyo iyumbe. Walisema kuwa ilipokaribia eneo hilo la ajali, waliona mwendesha pikipiki huyo akikabwa shingo na abiria na hatimaye kuiachia pikipiki na kuangukia chini. Walipoanguka, ndipo dereva huyo alipiga kichwa kwenye jiwe na kuanza kuvuja damu puani na masikioni.
Mamla alifariki papo hapo na ndipo wananchi wenye hasira wakaanza kumpiga abiria huyo bila kujua ni askari polisi. Wananchi waliendelea kumpiga wakidhani kuwa ni jambazi aliyetaka kupora pikipiki na alinusurika baada ya kukimbilia kwenye nyumba iliyokuwa  jirani. Madereva hao waliamua kufanya maandamano ili kufikisha ujumbe Serikalini kuwa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linawaonea. Wanasema kuwa marehemu alikamatwa na askari huyo akiwa amevaa kiraia na bila ya kuonesha kitambulisho na kwamba mazingira haya hayana tofauti na matukio ya unyang’anyi wa pikipiki na ndio maana marehemu hakutii.
Tukio hili limesababisha ugomvi mkubwa kati ya polisi na waendesha bodaboda mkoani Shinyanga, ugomvi uliodumu kwa zaidi ya saa tano na uliisha baada ya polisi kutumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kuwatawanya.
Maandamano haya yalisababisha shughuli zote kusimama mjini Shinyanga kwa muda wote huo wa zaidi ya saa tano.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: POLISI SHINYANGA AMKABA KOO BODABODA NA KUSABABISHA AJALI ILIYOMUUA PAPO HAPO
POLISI SHINYANGA AMKABA KOO BODABODA NA KUSABABISHA AJALI ILIYOMUUA PAPO HAPO
https://1.bp.blogspot.com/-T37Wvaw4Mlw/WTljs9T6mTI/AAAAAAAAcRw/Mss42Y8KVr0VSKH1vUoqADXVovjUEboyACLcB/s1600/698911_8d4f16e0277a5b23.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-T37Wvaw4Mlw/WTljs9T6mTI/AAAAAAAAcRw/Mss42Y8KVr0VSKH1vUoqADXVovjUEboyACLcB/s72-c/698911_8d4f16e0277a5b23.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/polisi-shinyanga-amkaba-koo-bodaboda-na.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/polisi-shinyanga-amkaba-koo-bodaboda-na.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy