RC ANNA MGHWIRA ‘AMKALIA KOONI’ MBUNGE WA HAI, FREEMAN MBOWE

SHARE:

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema kuwa hatua zilizochukuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Gellasius Byakanwa za kuondoa miun...

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema kuwa hatua zilizochukuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Gellasius Byakanwa za kuondoa miundombinu ya umwagiliaji katika shamba la Kilimanjaro Veggies si za kisiasa bali ni taratibu za kisheria za kulinda vyanzo vya maji.
Mghwira alitoa kauli hiyo jana alipotembelea shamba hilo lililopo Kijiji cha Nshara ili kujionea hali ya uharibifu wa mazingira uliofanywa katika shamba hilo linalomilikiwa na Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
“Sheria iko wazi, inasema tusifanye shughuli zozote za kibinadamu zenye madhara kwenye vyanzo vya maji ndani ya mita 60 kwa mujibu wa sheria na shughuli hii ina madhara makubwa kwa mazingira na hata kwa binadamu,” alisema Mghwira.
“Shughuli hii nzuri na ni uwekezaji mkubwa. Ninavyofahamu kilimo cha strawberry kikishatema maji lazima yaende mahali hata kama unatumia umwagiliaji wa kisasa wa matone. Maji yanakuwa na madhara kwa binadamu wanayoyatumia.”
Mghwira alisema kuwa licha ya mmiliki wa shamba hilo kukubaliana na mkuu wa wilaya kuwa amevunja sheria na angeondoa  mazao yake ifikapo Mei 23 mwaka huu, hakufanya hivyo na badala yake alianza kulima mazao mapya.
Imeelezwa kuwa Mbowe alishawahi kuomba viongozi wa mkoa katika kikao cha RCC kuitishwa kikao ambacho kitajadali masuala ya mazingira na umuhimu wa kuheshimu umuhimu wa mazingira. Kikao hicho kilifanyika lakini RC akasema anashindwa kuelewa kwanini Mbowe ameshindwa kuheshimu.
Akizungumzia uharibifu huo, Mbowe alisema kuwa kwa sasa vijana zaidi ya 100 wamepoteza ajira lakini pia anajadiliana na wanasheria wake kuona nini kinafanyika kutokana na hatua hiyo aliyoiita ya uonevu wa serikali.
Chanzo: Mwananchi

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RC ANNA MGHWIRA ‘AMKALIA KOONI’ MBUNGE WA HAI, FREEMAN MBOWE
RC ANNA MGHWIRA ‘AMKALIA KOONI’ MBUNGE WA HAI, FREEMAN MBOWE
https://3.bp.blogspot.com/-yNOAx4yFGIo/WUomYeGuYdI/AAAAAAAAcck/Va2lxhF4c6g2citqrVdf_vwwMMqQN8v3wCLcBGAs/s1600/DC013ClXcAA8inL.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-yNOAx4yFGIo/WUomYeGuYdI/AAAAAAAAcck/Va2lxhF4c6g2citqrVdf_vwwMMqQN8v3wCLcBGAs/s72-c/DC013ClXcAA8inL.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/rc-anna-mghwira-amkalia-kooni-mbunge-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/rc-anna-mghwira-amkalia-kooni-mbunge-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy