RIHANNA AELEZA JINSI YA KUKABILIANA NA MAUMIVU YA KUACHWA NA MPENZI WAKO

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Rihanna amemsaidia sahabiki wake kupunguza maumivu ya kuachana na mpenzi wake baada ya kumjibu ujumbe wake na kumwambia kuwa, tatizo hilo ni la muda tu.
Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 29 alipata ujumbe kupitia akaunti yake ya Twitter ambapo shabiki wake huyo kutoka Pakistan alimuuliza ni kwa namna gani aliweza kukabiliana na maumivu alipoachana na mpenzi wake.
Katika ujumbe aliomjibu shabiki huyo anayetumia jina la @WaladShami, Rihanna alisema, Amini kuwa maumivu hayo ni zawadi. Kama unaweza lia, lakini hayatakuwa yakudumu. Utapata akupendae tena na mapenzi yenu yatakuwa bora zaidi. Kwa wakiati huu, ikubali hali yako.”
“Just believe that the heartbreak was a gift in itself! Cry if you have to, but it won’t be forever! You will find love again, and it will be even more beautiful! In the meantime enjoy all that YOU are!!! (sic)”
Shabiki huyo alisema kuwa, maumivu hayo yalikuwa makali sana kwa sababu ulikuwa ni uhusiano wake wa kwanza.
Haya chini ni ujumbe huo wa Rihanna;

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post