RWANDA YATAKA KUCHUKUA SEHEMU YA ANGA LA TANZANIA

SHARE:

Serikali ya Rwanda imeiliandikia barua Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) ikitaka kulidhibiti (control) eneo la Kati na Magha...

Serikali ya Rwanda imeiliandikia barua Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) ikitaka kulidhibiti (control) eneo la Kati na Magharibi mwa anga la Tanzania.
Suala hilo limekuja wakati Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ikijitahidi kulirejesha eneo la anga la mashariki. Eneo hilo linalojumuisha Madagascar, Mauritius, Moroni na Kisiwa cha Mayotte ambalo kwa miaka 39 limekuwa likidhibitiwa na Kenya kutokana na sababu za kiusalama. ICAO iliipa Kenya eneo hilo ilidhibiti kutokana na Tanzania haikuwa na rada za ulinzi za kutosha.
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la THE CITIZEN la Alhamisi Juni Mosi, 2017, ICAO bado haijaijubu Rwanda ambayo ina rada mbili za kisasa kwa ajili ya ulinzi wa anga.
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari alisema Tanzania kwa sasa inaweza kudhibiti anga lake lote kwa sababu ipo katika mchakato wa kununua rada nne mpya zenye thamani ya Tsh 61.3 bilioni.
Rada hizo zitafungwa katika viwanja vikubwa vitano vya ndege ambavyo ni Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere uliopo Dar es Salaam, Abeid Amani Karume Zanzibar, Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro, Mwanza na Songwe.
Mdhibiti ameweka pia Radio yenye ‘Frequency’ za juu kabisa (VHF Radios) eneo la Mnyusi Tanga ambazo zimegharimu Tsh 389.9 milioni.
Tumejidhatiti katika kuhakikisha tunadhibiti eneo letu lote la anga tofauti na sasa ambapo tunadhibiti asilimia 25 pekee ya anga letu kitu ambacho si  hakikubaliki, alisema Johari.
Kushindwa kwa Tanzania kudhibiti eneo la kati na magharibi na kuiachia Rwanda, ina maana kuwa Tanzania itakosa mapato yote yanayotokana na eneo hilo.
Tanzania imekuwa ikipoteza Tsh 1 bilioni kila mwaka kwa kushindwa kudhibiti eneo la mashariki ambalo kwa sasa lipo chini ya Kenya.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RWANDA YATAKA KUCHUKUA SEHEMU YA ANGA LA TANZANIA
RWANDA YATAKA KUCHUKUA SEHEMU YA ANGA LA TANZANIA
https://4.bp.blogspot.com/-u5Xsyf1ZRK4/WTBOZvIanCI/AAAAAAAAcKI/xispLUib9pAN7J7U_nJX316aWGik8YvnQCLcB/s1600/xrwandair-737-80011-650x375.jpg.pagespeed.ic.zE2HyWwiFv.webp
https://4.bp.blogspot.com/-u5Xsyf1ZRK4/WTBOZvIanCI/AAAAAAAAcKI/xispLUib9pAN7J7U_nJX316aWGik8YvnQCLcB/s72-c/xrwandair-737-80011-650x375.jpg.pagespeed.ic.zE2HyWwiFv.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/rwanda-yataka-kuchukua-sehemu-ya-anga.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/rwanda-yataka-kuchukua-sehemu-ya-anga.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy