SERIKALI YAZUIA MWILI WA MZEE NDESAMBURO KUAGIWA UWANJA WA MASHUJAA MOSHI

Awali familia ya marehemu Philemon Ndesamburo ilitangaza kuwa wangetumia Uwanja wa Mashujaa Mjini Moshi kuuaga mwili wa marehemu Mzee Philemon Ndesamburo.
Wakati ndugu jamaa na marafiki wa familia hiyo wakiendelea kuuandaa  uwanja huo kwa ajili ya ibada ya kuaga mwili wa mpendwa wao huyo, serikali imesema kuwa hawawezi kutumia uwanja huo na kuwataka kutumia uwanja wa Majengo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Halamshauri ya Manispaa ya Moshi, ibada hiyo itafanyikia katika uwanja wa Majengo huku wakieleza kuwa uwanja huo umekidhi vigezo zaidi ya uwanja wa Mashujaa.
Isome barua iliyotolewa na Manispaa ya Moshi hapa chini;

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post