TAARIFA KUHUSU AJIRA ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)

SHARE:

Mkuu wa Utumishi Jeshi la Wananchi Tanazania (JWTZ), Meja Jenerali  Harrison Masebo amekanusha taarifa  zinazoenea mitandaoni kuhusu kuta...

Mkuu wa Utumishi Jeshi la Wananchi Tanazania (JWTZ), Meja Jenerali  Harrison Masebo amekanusha taarifa  zinazoenea mitandaoni kuhusu kutangazwa kwa nafasi za ajira na kwamba watu wanaotangaza hivyo ni matapeli waepukwe.
Meja Jenerali Masebo amebainisha hayo baada ya kuenea uvumi mitandaoni na mitaani kwa baadhi ya watu kujifanya wanahusika na jeshi hilo katika idara ya kutoa ajira kwa wananchi.
“Kumekuwa na vikundi ama watu ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa wakijitangaza wao wanauwezo kutoa ajira, vikundi hivyo msivisikilize siyo vikundi rasmi ama watu hao siyo rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi nasema kuanzia leo mtu akisiikia kuna mtu anamfuata anamwambia kuna nafasi ya kujiunga na mafunzo ya JKT ajue huyo mtu siyo halali ni muongo na tapeli” -alisema Meja Jenerali Masebo.
Pamoja na Hayo Meja Jenerali Masebo amesema mara zote Jeshi limekuwa likitoa ufafanuzi kuhusiana na masuala ya ajira lakini wanashangazwa na kundi hilo namna wanavyofanya kutaka kupitia ‘shortcut’.
“Jeshi limekuwa likifafanua mara kwa mara kuhusu taratibu za kujiunga nafasi za mafunzo JKT na taratibu za kujiunga na jeshi la wananchi lakini katika mazingira ambayo tunashindwa kuyaelewa hawa watu au vikundi ndiyo wamekuwa wajanja kiasi cha kuwarubuni vijana, wazazi na wazazi wakaamini kwamba zipo njia mbadala za kujiunga ‘shortcut’ napenda kusema hakuna shortcut hapa” – alisisitiza Meja Jenerali Masebo
Pamoja na hayo, Meja Jenerali Masebo aliendelea kufafanua baadhi ya mambo kwa kusema “Kwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama hata wakiwa Uhamiaji, Zima moto, Magereza, Polisi, TANAPA na Jeshi lenyewe ukitaka kujiunga na Jeshi la Wananchi maana yake ni kwamba kuna utaratibu maalumu ambapo kwanza kuna kikao ambacho wenyekiti wa kikao hicho ni mimi Mkuu wa Utumishi Jeshini kwa hiyo vyombo vingine vya ulinzi na usalama vinaleta wawakilishi ambao ni maofisa watumishi tunakaa pamoja kila taasisi, wanaleta idadi ya watu wanaowahitaji” – Meja Jenerali Masebo aliongeza.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TAARIFA KUHUSU AJIRA ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)
TAARIFA KUHUSU AJIRA ZA JESHI LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ)
https://1.bp.blogspot.com/-nYOvgPTxDCQ/WTjl7iZPcyI/AAAAAAAAcP4/s79aBdcdcIkYueRTgN8d0MSkxrapj1SlgCLcB/s1600/x1-1-2-700x375.jpg.pagespeed.ic.gyyGZczl_Z.webp
https://1.bp.blogspot.com/-nYOvgPTxDCQ/WTjl7iZPcyI/AAAAAAAAcP4/s79aBdcdcIkYueRTgN8d0MSkxrapj1SlgCLcB/s72-c/x1-1-2-700x375.jpg.pagespeed.ic.gyyGZczl_Z.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/06/taarifa-kuhusu-ajira-za-jeshi-la.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/06/taarifa-kuhusu-ajira-za-jeshi-la.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy