TANZIA: MKE WA MZEE YUSUF AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO

Mwimbaji wa zamani wa Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuph amefikwa na msiba usiku wa kuamkia leo ambapo mke wake mdogo Bi. Chiku amefariki dunia wakati anajifungua na mtoto naye amefariki.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mtangazaji wa Clouds FM Geahabib ameandika “Innalillah wainaillah rajuun mke mdogo wa Mzee Yusufu #Chiku amefariki dunia usiku huu alipokuwa akijifungua na mtoto amefariki taarifa zaidi tutaendelea kupeana!!”

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post