TAZAMA VIDEO YA BEN POL ILIYOSABABISHA APIGE PICHA ZA UTUPU

Wiki kadhaa zilizopita picha za mwanamuziki Ben Pol zilizua utata kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonyesha sehemu kubwa ya mwili wake akiwa utupu.
Mwenyewe alisema kuwa zilikuwa kwa ajili ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Darassa japo wengi baada ya kuusikiliza walisema hauna uhusiano na picha hizo za utupu.
Mwanamuziki huyo ameachia video ya wimbo jana. Unaweza kuitazama hapa chini;JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post