VIDEO: DIAMOND AITAJA HOFU YAKE KUBWA KATIKA MAISHA

Mwanamuziki Diamond Platnumz amesema kuwa hofu yake kubwa katika maisha yake ni kufariki na kuwaacha watoto wake sababu anawapenda sana.
Diamond aliyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na redio Capital FM nchini Kenya ambapo alikuwa amekwenda kwa ajili kufanya matamasha ya muziki.
Alipoulizwa na mtangazaji, hofu yako kubwa ni ipi, Diamond alisema “Well..may be dying and kuwaacha watoto wangu” (labda kufariki na kuwaacha watoto wangu.
Mbali na hilo, Diamond alisema kuwa kama angekuwa Rais, basi angehakikisha anatengeneza mfumo ambao ungewawezesha watu wengi zaidi kupata ajira. Lakini kama angepewa sehemu moja tu kutembelea, angependa kwenda Uingereza.
Tazama video hapa chini kusikiliza majibu ya maswali yote aliyoulizwa;

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post