ACACIA YAKIMBILIA KUTAFUTA USULUHISHI BAADA YA SHERIA YA MADINI KUPITA

SHARE:

Saa chache baada ya bunge kipitisha sheria ya marekenisho ya sheria mbalimbali itayayoleta mageuzi makubwa katika usimamizi wa rasilimali...

Saa chache baada ya bunge kipitisha sheria ya marekenisho ya sheria mbalimbali itayayoleta mageuzi makubwa katika usimamizi wa rasilimali za taifa, kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia imemtaarifu msuluhishi kuhusu uwepo wa mgogoro kati yake na serikali ya Tanzania.
Serikali iliwasilisha bungeni miswada mitatu inayohusu rasilimali za taifa ambayo ina lengo la kubadili sheria zinazosimamia madini sasa nchini kufuatia kubainika kuwa taifa linapoteza mabilioni ya fedha kila mwaka kupitia sekta ya madini.
Baadhi ya mapinduzi yatakayoletwa na sheria hizo ni pamoja na Benki Kuu ya Tanzania kupewa mamlaka ya kuhifadhi dhahabu baada ya kutokufanya hivyo kwa miaka mingi, huku sheria ikitamka kuwa madini ni mali ya watanzania wote kupitia kwa rais wa nchi.
Sheria hizo zitaiwezesha serikali kufannya uangalizi wa maeneo ya uchumbaji wa madini huku ikihakikisha hakuna ndege itakayotua na kuondoka na madini kama ilivyokuwa awali.
Kufuatia mabadiliko hayo, Acacia jana ilitoa taarifa kuwa Kampuni ya Bulyanhulu Gold Mine (BGM) na Pangea Mineral Limited (PML) zimetoa notisi ya usuluhishi kufuatia uzuiwaji wa usafirishaji wa mchanga wa madini.
Taarifa hiyo iliyochapishwa katika tovuti rasmi ya Acacia ilieleza kuwa, notisi hizo zinarejea mgogoro  wa sasa na serikali ya Tanzania dhidi ya BGM NA PML kwenda katika usuluhishi.
Japo kuwa Acacia hawakueleza wamefungua wapi amombi hayo ya usuluhishi lakini walieleza kufanya hivyo kwa wakati huu ni jambo muhimu ili kulinda kampuni wakaeleza pia majadiliano ndio njia bora itakayosaidia kuleta maafikiano ambapo wakati huo wote wao wateendelea kufanya kazi Tanzania.
Wakati majadiliano ya usuluhisi yatakapoanza, Acacia hawatakuwa sehemu ya majadiliano hayo yatakayofanyika kati ya Tanzania na Barrick Gold ambao ndio wamiliki wakubwa wa Acacia. Aidha wamesema kuwa maafikiano yoyote yatakayofikiwa katika majadiliano hayo yatatakiwa kuridhiwa na Acacia na kwamba watatoa ushirikiano kwa Barrick wakati wa mazungumzo.
Acacia walisema kuwa mgodi yake mitatu inaendelea na uchimbaji kwa kutumia makubaliano ya awali na kwamba itaendelea kutoa taarifa zaidi kuhusu yatakayojiri pamoja na miswada iliyopitishwa na bunge la Tanzania.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ACACIA YAKIMBILIA KUTAFUTA USULUHISHI BAADA YA SHERIA YA MADINI KUPITA
ACACIA YAKIMBILIA KUTAFUTA USULUHISHI BAADA YA SHERIA YA MADINI KUPITA
https://1.bp.blogspot.com/-aepdGJsilKU/WVyaWJGpRzI/AAAAAAAAcro/4f6lrdVJhoYv5ncgp55m4Z3pdC9rdDGBACLcBGAs/s1600/xbuly_image02_2015-750x375.jpg.pagespeed.ic.H2duh2CSaL.webp
https://1.bp.blogspot.com/-aepdGJsilKU/WVyaWJGpRzI/AAAAAAAAcro/4f6lrdVJhoYv5ncgp55m4Z3pdC9rdDGBACLcBGAs/s72-c/xbuly_image02_2015-750x375.jpg.pagespeed.ic.H2duh2CSaL.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/acacia-yakimbilia-kutafuta-usuluhishi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/acacia-yakimbilia-kutafuta-usuluhishi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy