AMBER ANAYESEMA NINATUMIA UNGA ANIPELEKE SOBA

Msanii na muuza nyago kwenye video za Bongo Fleva, Lulu Augen ‘Amber Lulu’.
MSANII na muuza nyago kwenye video za Bongo FlevaLulu Augen ‘Amber Lulu’, amefunguka kuwa wanaomsema anatumia madawa ya kulevya ‘unga’, basi wampe­leke sober house (nyumba ya kusaidia waathirika wa unga) ili akapatiwe tiba.
Akizungumza na 3-TamuAmber Lulu alisema kuwa anavyojua teja wa unga huwa hajifichi hivyo kama kweli anatumia, ipo siku itadhihirika kuliko kila siku kuse­mwasemwa juu ya jambo ambalo hausiki nalo.
“Nimekuwa nikisemwa kila siku kuwa ninatumia unga, sasa nasema kama kuna mtu ana uhakika na hilo, basi anipeleke sober house nikatibiwe. Ni vyema watu wakajua kuwa hata mimi ni binadamu, ninaumizwa na kuse­mwasemwa,” alisema Amber Lulu.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post