BAADA YA KUCHAPA BAFANA BAFANA, SASA TAIFA STARS KUIVAA ZAMBIA NUSU FAINALI YA KOMBE LA COSAFA

Licha ya kutopewa nafasi mwanzoni, sasa safari ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeendeela kuwa yenye mafanikio katika michuano ya Kombe la Cosafa.
Baada ya kuwatoa wenyeji Afrika Kusini, jana usiku katika Robo Fainali, sasa Stars inatarajiwa kucheza dhidi ya Zambia katika nusu fainali itakayopigwa keshokutwa Jumatano.
Stars iliifunga Afrika Kusini maarufu kwa jina la Bafana Bafana bao 1-0 mfungaji akiwa ni Elius Maguli aliuyefunga katika dakika ya 18, itashuka kwenye Uwanja wa Moruleng katika eneo la Moruleng kuivaa Zambia ambayo imefika hatua hiyo baada ya kuifunga Botswana mabao 2-1 katika robo fainali.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post