BAADA YA PROFESSOR JAY, HUENDA AY AKAFUATA!

Usiku wa kuamkia leo kuna picha na videos ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha mkali wa muziki nchini AY akimvalisha pete mpenzi wake wa muda mrefu mwenye asili ya Rwanda.

Ikiwa inafahamika fika kuwa kitendo cha kuvalishana pete ndio mwanzo mzuri kwa wapendanao kufikia hatua za kufunga ndoa. Kwahiyo kuna dalili za kutosha za AY kufuata nyayo za Professor Jay ambaye amefunga ndoa wiki iliyopita. Kila la heri kwa mkongwe huyo.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post