BAADA YA YANGA KWENDA MOROGORO, HIKI NDICHO ALICHOANDIKA HAJI MANARA

Utani wa jadi wa Klabu za Simba na Yanga, unaendelea kushika kasi huko kwenye mitandao, wakati Simba wakiwa Afrika Kusini walikoweka kambi kujiandaa na msimu mpya, Yanga wapo Morogoro wakijifua, hilo halijapita hivihivi.
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara ametumia ukurasa wake wa Instagram, kuweka neno moja tu, nalo ni “Shubamit!!!” kisha baada ya hapo akaweka picha hii inayowatania Yanga juu ya kwenda kuweka kambi Morogoro wakati wao Simba wapo Afrika Kusini.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post