BEN POL AWACHANA WANAOSEMA ANATEGEMEA KIKI

Msanii wa muziki wa bongo fleva  nchini Tanzania Ben pol amekanusha madai kwamba  anafanya muziki kwa  kutegemea  kiki.
Akiongea na kituo kimoja cha Runinga,Ben pol amesema wanaosema anafanya kiki hawajui watendalo kwani anachoamini ni kufanya  kazi nzuri na yenye ubora.
“Tuache habari za kijinga tufanye kazi sio kufuatilia mambo yasiyo na msingi watambue mimi ni maarufu kuongelewa katika mitandao ni kawaida”Alisema Ben Paul.
Ben Pol amewakumbusha mashabiki zake   wazidi kumsapoti katika kazi zake na kuachana na habari za kwenye mitandao ya kijamii.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post