BLAC CHYNA AAMUA KURUDI HUKU SASA…

Blac Chyna aamua kuirudia njia yake ya zamani kujitafutia mkwanja baada ya kuachana na Rob Kardashiankupitia picha za uchi zilizotumwa kwenye mtandao wa Instagram.
Kupitia ripoti ambayo imetolewa na TMZ, imefunguka kwamba Blac Chyna ameamua kurudi kwenye biashara yake ya Kuhost Strip Club na muonekano wake wa kwanza utaanza kuonekana katika klabu ya Ace of Diamonds  huko West Hollywood na kitu kizuri ni kwamba popote atakapo kanyaga ndani ya klabu basi atakuwa anaingiza $10,000 sawa na kama milioni 22 na ushwee za kibongo.
Watu wakaribu wa Blac Chyna wamefunguka kwa kudai kwamba Chyna ndie aliyeamua kuanzisha mazungumzo hayo kuhusu kuingiza mkwanja ndani ya klabu.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post