BREAKING NEWS: SHAFFIH DAUDA ATANGAZA KUJIONDOA KATIKA UCHAGUZI WA TFF

Mwanahabari Shaffih Dauda ametangaza kujiondoa katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa Shiririkisho la Soka Tanzania (TFF) ambapo alikuwa akiwania ujumbe.
Dauda ametangaza maamuzi yake hayo leo asubuhi wakati alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha 360 cha Clouds TV na sababu kubwa ni kuwa mchakato huo umemletea mgongano kati yake na mwajiri wake. 
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post