CHADEMA KUMSHUGHULIKIA ALIYEMFUKUZA MWANDISHI WA TBC KWENYE MKUTANO WA LISSU

SHARE:

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa, kimepokea kupitia vyombo vya habari taarifa za tukio la mwandishi wa habari w...

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa, kimepokea kupitia vyombo vya habari taarifa za tukio la mwandishi wa habari wa TBC kushindwa kutimiza wajibu wake katika ofisi za Makao Makuu yake zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
CHADEMA imesemema, tukio hilo halikufanywa kwa maelekezo ya kiongozi yeyote na kama chama, hawajawahi na hawana sera wala msimamo wa kubagua chombo chochote cha habari.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema wamesema kwamba, katika hatua za awali wanafanyia uchunguzi tukio hilo ili kuweza kubainisha nini hasa kilitokea katika siku hiyo na wanategemea kupata ushirikiano kutoka kwa mwandishi husika katika uchunguzi wao.
Aidha, taarifa hiyo kutoka CHADEMA aliwahakikishia waandishi wote wa habari kuwa wataendelea kuwa salama katika matukio yote ambayo yatakuwa yakifanywa na chama hicho na watapata ushirikiano unaostahili.
“Baada ya uchunguzi wetu kukamilika tutatoa taarifa kamili juu ya tutakachokuwa tumebaini na hatua tutakazochukua. Sisi tunaamini katika uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa waandishi wa habari na haki ya kupata na kutoa habari/taarifa kuwa ni nguzo kuu katika kujenga taifa la kidemokrasia na hatimaye kufikia maendeleo ya kweli.”
Katika kudhihirisha kwa vitendo kuwa wanathamini uhuru wa habari na uwajibikaji, Mrema alisema, CHADEMA ni taasisi ya kwanza ya kisiasa iliyotia saini na kukubaliana na Azimio la Dar es Salaam Juu ya Uhuru wa Uhariri na Uwajibikaji, na kwamba hawana uhakika kama kuna taasisi nyingine ya kisiasa iliyofanya hivyo.
“Tunapenda kutumia fursa hii kuwahakikishia wadau wote wa habari, wakiwemo waandishi, wahariri na wananchi, kuwa tutaendelea kuionesha imani hiyo kwa vitendo katika shughuli zetu zote za kisiasa,” alisema Mrema.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: CHADEMA KUMSHUGHULIKIA ALIYEMFUKUZA MWANDISHI WA TBC KWENYE MKUTANO WA LISSU
CHADEMA KUMSHUGHULIKIA ALIYEMFUKUZA MWANDISHI WA TBC KWENYE MKUTANO WA LISSU
https://3.bp.blogspot.com/-s80g04c8Qo4/WX3kEmasIMI/AAAAAAAAdLo/4ULfd-f-X_sWkqQM3J2syxLB6IJtSGsygCLcBGAs/s1600/lissu-1.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-s80g04c8Qo4/WX3kEmasIMI/AAAAAAAAdLo/4ULfd-f-X_sWkqQM3J2syxLB6IJtSGsygCLcBGAs/s72-c/lissu-1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/chadema-kumshughulikia-aliyemfukuza.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/chadema-kumshughulikia-aliyemfukuza.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy