DALILI ZINAZOASHIRIA KWAMBA MAPENZI YENU YATADUMU

SHARE:

Watu wengi wanakuwa kwenye wasiwasi wa kuachwa au kuvunjika kwa mapenzi yao wakiwa mwanzoni mwa uhusiano au ndoa. Pengine ni kwa sababu w...

Watu wengi wanakuwa kwenye wasiwasi wa kuachwa au kuvunjika kwa mapenzi yao wakiwa mwanzoni mwa uhusiano au ndoa. Pengine ni kwa sababu wanaona walikuwa wakiwaficha wenza wao baadhi ya vitu ambavyo sasa kwakuwa watakuwa pamoja muda mrefu, hofu ya mwenza kuja kugundua mambo yaliyokuwa yanafichwa inakuwa kubwa na kufanya ushindwe kujua hatua atakayechukua baada ya hapo. Hata hivyo, wengine wanakuwa na hofu tu si kwa sababu walikuwa wanaficha chochote, bali ni kutokana na kuanza maisha mapya na mtu mwingine, jambo linaloleta wasiwasi endapo utamfaa mwenza wako au kama yeye atakufaa kadhalika.
Zifuatazo ni dalili kwamba wewe na mpenzi wako mtadumu kwenye mahusiano yenu:
 1. Tabia ya kila mmoja inatosheleza mapungufu ya mwenzake vizuri kabisa, na kila mmoja anamfanya mwenzake kuwa bora zaidi kwa kuwa pamoja, kila mmoja anakuwa bora zaidi ya anavyokuwa akiwa peke yake.
 2. Mnathaminiana na kila mmoja anajali mambo anayoyapenda mwenzake.
 3. Mnakuwa na maelewano mazuri kama marafiki tu, bila kulazimisha hali hiyo. Hata inapotokea kutoelewana kati yenu juu ya jambo fulani, kutoelewana huko kunachukuliwa ni kama kila mmoja anataka jambo hilo hilo ambalo ni kumfanya mwenzie awe na furaha.
 4. Mnaweza kuongea tu na kutaniana kila mmoja akaridhika na kufurahia kwa kufanya hivyo.
 5. Vitu au mambo ambayo anayathamini mwenzio yanafanana na unayoyathamini wewe na mna imani moja mnayoisimamia.
 6. Mambo yanayowapa furaha yanafanana au yanakaribiana, na pia anamfanya mwenzake ajifunze mambo mapya ambayo hakuwa akiyafanya kabla.
 7. Mitazamo yenu haikinzani mnapojadili mambo ya msingi, lakini pia kila mmoja anakuwa wazi kujadili mawazo mapya yanayofata kudumisha uhusiano.
 8. Kila mmoja humfanya mwenzake acheke na kufurahia, bila hata kujaribu.
 9. Hamna sababu inayomfanya mwenzako akukasirikie kwa zaidi ya saa moja… kama mkikasirikiana.
 10. Mnaaminiana. Hata ikitokea kila mmoja akawa na hofu juu ya mwenzie, bado unakuwa na imani kuwa mwenzako ni mtu unayeweza kumuamini bila shaka yoyote.
 11. Hakuna mmoja wenu anayetaka kumtawala mwenzake au kumkwamisha mwenzake kwenye mambo anayofanya.
 12. Mnafanikiwa kwa wepesi zaidi mnapofanya kazi mkiwa pamoja kwa kuunganisha uwezo wa kazi na taaluma ya kila mmoja.
 13. Kila mmoja ana malengo na mipango yake na kila mmoja anamuunga mkono mwenzake ili apate mafanikio anayoyatarajia.
 14. Mnatatua matatizo yanayotokana na kutokuwa na muda, kutokuwa karibu na kila mmoja na mabadiliko ya aina yoyote ile kidogo kidogo na kwa uvumilivu wa hali ya juu kwa kila mmoja.
 15. Kila mmoja anamfanya mwenzake ajiamini zaidi, mwenye mvuto, mwenye uhuru wa kufanya mambo yake na mwenye kuyafurahia maisha.
 16. Hamfichani au kuwa na ajenda za siri. Kila mmoja anaweka wazi mambo yote kwa sababu mnajua kabisa kwa uzuri au ubaya, ni bora mwenza wako ajue ulivyo kwa kujiamini kabisa.
 17. Kila mmoja anapenda mambo madogomadogo ambayo mwenza wake anayo.
 18. Mnajaribu pamoja kufanya mambo mapya.
 19. Kila mmoja anakubali anapokosea, bila aibu wala kujificha.
 20. Kila mmoja anakuwa muwazi na kukubali kama jambo limemshinda au hawezi kulifanya.
 21. Mnaelewa baadhi ya matatizo ya kimapenzi yanayowasumbua watu wengine na mnajitahidi kutofanya makosa wanayoyafanya wao.
Tazama dalili hizo na nyingine unazozijua kujiridhisha kama uwepo wa mwenza wako maishani mwako utadumu kwa muda mrefu kiasi gani. Jipime kama wewe pia unafanana na sifa kama hizo endapo mwenza wako akikuangalia anaweza kujiridhisha kwamba unavyo pia.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: DALILI ZINAZOASHIRIA KWAMBA MAPENZI YENU YATADUMU
DALILI ZINAZOASHIRIA KWAMBA MAPENZI YENU YATADUMU
https://3.bp.blogspot.com/-aPH_eJo2s44/WXJhlnW7yBI/AAAAAAAAc58/qaZLgoveGxQAtEtvryMnR2c7QBU31iG-ACLcBGAs/s1600/black-.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-aPH_eJo2s44/WXJhlnW7yBI/AAAAAAAAc58/qaZLgoveGxQAtEtvryMnR2c7QBU31iG-ACLcBGAs/s72-c/black-.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/dalili-zinazoashiria-kwamba-mapenzi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/dalili-zinazoashiria-kwamba-mapenzi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy