DIAMOND PLATNUMZ SASA KUUZA KARANGA

Mwanamuziki Diamond amezindua biashara nyingine ya kuuza karanga ikiwa ni siku chache zimepita tangu azindue Pafyumu.
Bidhaa ya Diamond Karanga sasa imeanza kuuzwa nchini Kenya na baadhi ya maduka nchini Tanzania.
Diamond amekuja na Bidhaa ya peke yake kufuatia wasanii wengi kutumia muda wao mwingi kuuza tisheti na kofia.
Msanii huyo  alizindua  karanga siku ambayo alimkaribisha Rayvanny nchini Tanzania akitokea Marekani.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post