DK. KIGWANGALLA AANZIA ZIARA MKOANI MTWARA, NA KUTOA MAAGIZO KWA WATUMISHI

SHARE:

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla ahimiza watumishi wa wizara hiyo kuacha kuf...

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla ahimiza watumishi wa wizara hiyo kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuzingatia sheria, miongozo,  taratibu na maelekezo yao ya kazi.
Akiwa katika ziara hiyo Mkoani Mtwara, alielekeza watumishi hao kuwa dhamana waliyopewa kuwahudumia wananchi wenzao ni kubwa hivyo hawana budi kuzingatia kanuni za Afya ili kuepuka maambukizi yatakayotokana na uzembe .
Aliwataka kulipa kipaumbele suala la usafi wa mazingira, vifaa na maeneo yote wanayofanyia kazi hususan uhifadhi wa taka za hospitali katika utaratibu maalum unaozingatia  mfumo wa kinga na udhibiti wa taka  (Infection Prevention and Control) .
Miongoni mwa mambo mengine aliyoyabaini katika ziara hiyo ni ubovu wa baadhi ya vifaa tiba katika maabara na vyumba vya upasuaji na kuagiza katibu mkuu wizara ya Afya kuchunguza mikataba yote ya usambazaji vifaa tiba na matengenezo.
Aidha, Dk. Kigwangalla alibaini baadhi ya vifaa vya kisasa vilivyomo katika vituo hivyo havitumiki ipasavyo kwasababu watumishi waliopo hawana ujuzi wa kuvitumia na alimwagiza Mganga Mkuu wa Mkoa kulishughulikia tatizo hilo haraka sana kwa kuwajengea uwezo wataalam hao.
Mbali na kujionea hali hizo, Dk. Kigwangalla pia alitoa maagizo mbalimbali kwa watendaji wa vituo na viongozi wa Wilaya husika kuhakikisha wanasimamia ipasavyo utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Dk. Kigwangalla akiwa mkoani Mtwara, aliweza kutembelea katika Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali, kati hizo ni:  Kituo cha Afya Mahurunga, Kituo cha Afya Nanguruwe, Zahanati ya Kijiji cha Dinyecha.
Pia ametembelea Hospitali ya Wilaya ya Newala na Kituo cha Afya Newala DC, Zahanati ya Lulindi, Zahanati ya Nagaga, Hospitali ya Halmashauri ya Masasi-Mkomaindo na Zahanati ya Mbonde.
Aidha, ameendelea na ziara yake Mkoani Ruvuma ambayo  atatatembelea vituo vya Afya na Hospitali za Mkoa huo.
Mwisho.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: DK. KIGWANGALLA AANZIA ZIARA MKOANI MTWARA, NA KUTOA MAAGIZO KWA WATUMISHI
DK. KIGWANGALLA AANZIA ZIARA MKOANI MTWARA, NA KUTOA MAAGIZO KWA WATUMISHI
https://2.bp.blogspot.com/-5R8NjwBmB9A/WWeJKOX8FaI/AAAAAAAAcxQ/GmQXGd1s-XYQlCDVMPmLGg0yU5ZQ96LNwCLcBGAs/s1600/xDSC_1136-750x375.jpg.pagespeed.ic.xZcC-miSVn.webp
https://2.bp.blogspot.com/-5R8NjwBmB9A/WWeJKOX8FaI/AAAAAAAAcxQ/GmQXGd1s-XYQlCDVMPmLGg0yU5ZQ96LNwCLcBGAs/s72-c/xDSC_1136-750x375.jpg.pagespeed.ic.xZcC-miSVn.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/dk-kigwangalla-aanzia-ziara-mkoani.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/dk-kigwangalla-aanzia-ziara-mkoani.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy