EVERTON KUTANGAZA USAJILI WA BEKI MICHAEL KEANE

SHARE:

Klabu ya Everton inatarajia kukamilisha malipo ya pauni milioni 25 ya kumsaini beki wa England, Michael Keane hivi leo. Keane, 24, anat...

Klabu ya Everton inatarajia kukamilisha malipo ya pauni milioni 25 ya kumsaini beki wa England, Michael Keane hivi leo.
Keane, 24, anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu kwa saa 24 zilizosalia kabla ya kukamilisha uhamisho wake rasmi.

Everton itatangaza rasmi usajili kwa mshambuliaji chipukizi Sandro Ramirez kutoka mjini Malaga ya Hispania.

Usajili wa Keane na usajili wa Sandro, utasababisha Everton kutumia zaidi ya pauni milioni 90, fedha ambazo wametumia katika kipindi cha sasa cha kuhama kwa wachezaji.

Everton tayari imemsajili kipa wa England, wa kikosi cha chini ya miaka 21, Jordan Pickford kwa kitita cha pauni milioni 30 na kumnunua nahodha wa Ajax Davy Klaaassen kwa uhamisho wa pauni milioni 24.

Mshambuliaji wa Nigeria Henry Onyekuru aliwasili kutoka KAS Eupen mjini Ubelgiji kwa kitita cha pauni milioni 7 ingawa atasalia katika klabu hiyo ya Anderlecht kwa muda wa miezi 12.

Kuwasili kwa Keane haitakuwa mwisho wa Everton kutumia pesa nyingi chini ya meneja Koeman ambaye ana lengo la kuijaribu Swansea City iwapo watamuhifadhi kiungo wa kati mwenye miaka 27 kutoka Iceland Gylfi Sigurdsson.

The Toffees pia watafanya biashara na burnely katika msimu wa joto baada ya ripoti kwamba wameanza mazungumzo dhidi ya mshambuliaji Andre Gray

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: EVERTON KUTANGAZA USAJILI WA BEKI MICHAEL KEANE
EVERTON KUTANGAZA USAJILI WA BEKI MICHAEL KEANE
https://1.bp.blogspot.com/-ZE7Xm31BCm8/WVqpLUxdQrI/AAAAAAAAcps/ts-Y0nPldVUHRWui_X7j2Ql0_TPN2vkhgCLcBGAs/s1600/Michael-Keane.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-ZE7Xm31BCm8/WVqpLUxdQrI/AAAAAAAAcps/ts-Y0nPldVUHRWui_X7j2Ql0_TPN2vkhgCLcBGAs/s72-c/Michael-Keane.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/everton-kutangaza-usajili-wa-beki.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/everton-kutangaza-usajili-wa-beki.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy