HAI: ‘MAGUMASHI’ YAGUNDULIKA KWA MADIWANI WALIOHAMA CHADEMA

SHARE:

Madiwa walikihama Chama cha Demokransia na Maendeleo, Hai. Sakata la madiwani watatu waliojiuzulu wa Chama cha Demokransia na Maend...

Madiwa walikihama Chama cha Demokransia na Maendeleo, Hai.

Sakata la madiwani watatu waliojiuzulu wa Chama cha Demokransia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Hai, limechukua sura mpya baada ya kubainika kuwepo kwa tofauti ya majina na kata za madiwani hao waliojiuzulu

Akizungumza na waaandishi wa habari, Mwenyekiti wa Halmashauri ya hiyo, Helga Mchomvu, alikiri kupokea barua za madiwani watatu kujiuzulu nyadhifa zao na kuhama chama.
Hata hivyo, amesema baada ya kuzipitia barua hizo kwa undani alibani kasoro kadhaa ikiwamo ya majina majina ya kata kutoshabihiana na majina ya madiwani husika.

Akifafania, Mchimvu alisema barua iliyondikwa  Julai 25 mwaka huu na aliyekuwa diwani wa Kata ya Mnadani, Ernest Kimath, inaonyesha kuwa alikuwa diwani wa kata ya Weruweru na si kata ya Mnadani.
“Pia barua ya tarehe hiyo hiyo iliyoandikwa na aliyekuwa  diwani wa kata ya Weruweru, Abdallah Chiwili, ina maelezo yanayoeleza kuwa alikuwa Diwani wa Kata ya Mnadani si Weruweru huku mwisho wa barua hiyo ukiwa na jina na sahihi ya Chiwili ” alisema Mchomvu na kuongeza:

“Kinachoonekana  ni kuwa barua zile ziliandaliwa na mtu mmoja na wahusika waliweka sahihi bila kujali maelezo yaliyomo ndani yake.”
Mchomvu alisema barua ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Machame Magharibi Goodluck Kimaro niliyoandikwa mnamo Julai 25 mwaka huu haina upungufu wowote.

“Pamoja na upungufu huo lakini mimi kama mwenyekiti wa halmashauri inayotokana na Chadema nimeridhiria maamuzi yao na sasa tunasubiri maelekezo mengine juu ya hatima ya kata hizo,” alisema.
Akizungumzia hatua ya madiwani hao kujiuzulu kaimu Mwenyekiti wa Chadema wilaya hiyo, Joe Nkya, alisema kitendo hicho ni usaliti kwa chama na kinaonyesha wanacheza na rasilimali za watanzania.

“Kiongozi wa kuchaguliwa anapojiuzulu lazima uchaguzi ufanyike upya na rasilimali za watanzania zinatumika. Uchaguzi katika kata moja unaweza kugharimu zaidi ya shilingi milioni 30 ambapo zingesaidia katika shughuli za maendeleo,” alifafanua.
Nae mjumbe wa kamati tendaji ya wilaya ya Chama hicho, Simoni Mnyampanda alisema kuwa hawana wasiwasi na kuondoka kwa madiwani hao kwa sababu walikuwa kama namba tu katika utendaji wao.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: HAI: ‘MAGUMASHI’ YAGUNDULIKA KWA MADIWANI WALIOHAMA CHADEMA
HAI: ‘MAGUMASHI’ YAGUNDULIKA KWA MADIWANI WALIOHAMA CHADEMA
https://1.bp.blogspot.com/-tFUKAz5O9oA/WXy49bUb84I/AAAAAAAAdKU/B0Q4kkPTyK0LwJL6Q6VMl_kWVglib4XZACLcBGAs/s1600/chademaaaa.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-tFUKAz5O9oA/WXy49bUb84I/AAAAAAAAdKU/B0Q4kkPTyK0LwJL6Q6VMl_kWVglib4XZACLcBGAs/s72-c/chademaaaa.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/hai-magumashi-yagundulika-kwa-madiwani.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/hai-magumashi-yagundulika-kwa-madiwani.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy