ISOME HAPA HATI YA SHTAKA ALILOSOMEWA TUNDU LISSU MAHAKAMANI LEO

Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo asubuhi na kusome shtaka la uchochezi kwa kutoa hotuba ya kichochezi dhidi ya Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Tundu Lissu amesomewa shtaka hilo mbele ya ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ambapo imeelezwa kuwa alitoa hotuba hiyo ya kichochezi Julai 17 eneo la Ufipa, Kinondoni.
Mtuhumiwa alipotakiwa kuzungumza kama anakubali au kukataa tuhuma hiyo, alisema, kusema ukweli haikuwahi kuwa kosa la jinai.
Baada ya kusomewa shtaka hilo mtuhumiwa amerejeshwa rumande hadi Julai 27 mwaka huu baada ya upande wa mashtaka kuomba asipewe dhamana.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post