JPM ASHANGAZWA NA M/KITI WA BODI YA WAKURUGENZI TANTRADE ALIYEMTEUA KARIBUNI

SHARE:

Rais John Magufuli  ameshangazwa na kauli ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo na Biashara Tanzania (TANTRADE), C...

Rais John Magufuli  ameshangazwa na kauli ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo na Biashara Tanzania (TANTRADE), Christopher Chiza kuwa na mipango ya kujenga majengo mapya kwa ajili ya wafanyabiashara badala ya viwanda vitakasaidia nchi.
Akizungumza leo wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, Rais Magufuli amesema kwamba ameshangazwa sana na mipangio ya kujenga mahoteli pamoja na kufanyia ukarabati wa majengo kwani hajui mahali pesa hizo zitakapopatikana.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo na Biashara Tanzania (TANTRADE), Christopher Chiza
“Mh. Chiza amezungumza kubadilisha majengo na kujenga mapya, mawazo mazuri lakini najiuliza hizo hela zimetoka wapi , haingii akilini wao ndio wanatusisitizia mambo ya biashara na viwanda na ‘theme’ ya mwaka huu inazungumzia kukuza biashara na maendeleo ya viwanda sasa wao badala ya kuzungumza juu ya maendeleo ya viwanda wanataka wajenge Hotel hapa, watengeneze majengo mapya sasa. Sijaelewa, sasa kama hizo hela zipo basi mzipeleke mkajenge kiwanda cha mfano.
Aidha Rais magufuli amesisitiza kwamba  “Haya majengo yaliyopo ambayo mnayaona yamechakaa hawa wanaokuja kuonesha bidhaa zao wapeni bure wajenge ili kila mwaka wawe wanaonesha, hiyo Hoteli kwani mkijenga lazima walale hapa hapa? Mnaweza kujenga hoteli hapa bado wakaenda mjini.  Mimi nilifikiri badala ya  kujenga jenga majengo fikirieni zaidi katika kujenga viwanda kwa ajili ya mfano wa kuonesha Wizara kweli iko mbele kwa ujenzi wa viwanda.
Katika kuonyesha nia ya kufikia Tanzania ya viwanda inafikiwa Rais ameitaka wizara pamoja na bodi hiyo kutofikiria ujenzi wa majengo.
“Mwenyekiti nimekuteua juzi umeshaanza kufikiria majengo hapa pamoja na Bodi yako mnanifanya nifikirie zaidi. Haya majumba yanaweza yakawa siyo mazuri sana lakini ni mazuri kwa watu wa Tanzania ambao wanataka kuona bidhaa. Yanayowaleta hapa siyo majumba Watanzania wanakuja hapa kuangalia Teknolojia na vifaa vilivyomo.Inawezekana mimi nipo tofauti mnisamahee lakini katika muelekeo wangu ninaona hizo hela mnataka kuzitumia vibaya” Rais alisisitiza.
Pamoja na hayo Mh. Rais amewaomba waandaji wa maonyesho hayo pamoja na Waziri wa viwanda na biashara Mh. Charles Mwijage  kuongeza siku zaidi katika maonesho ili watanzania waweze kupata muda mzuri wa kununua na wafanyabiasha kuuza ambapo ombi lake lilikubaliwa hapo hapo na kuongezwa siku tano mbele.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: JPM ASHANGAZWA NA M/KITI WA BODI YA WAKURUGENZI TANTRADE ALIYEMTEUA KARIBUNI
JPM ASHANGAZWA NA M/KITI WA BODI YA WAKURUGENZI TANTRADE ALIYEMTEUA KARIBUNI
https://3.bp.blogspot.com/-iDByOkxgzNY/WViPUf8vtVI/AAAAAAAAclA/b1MBZkaL-w4omY12pzgoKcRzcr8lm1m4QCLcBGAs/s1600/x2aa-750x375.jpg.pagespeed.ic.UJGfv64VPn.webp
https://3.bp.blogspot.com/-iDByOkxgzNY/WViPUf8vtVI/AAAAAAAAclA/b1MBZkaL-w4omY12pzgoKcRzcr8lm1m4QCLcBGAs/s72-c/x2aa-750x375.jpg.pagespeed.ic.UJGfv64VPn.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/jpm-ashangazwa-na-mkiti-wa-bodi-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/jpm-ashangazwa-na-mkiti-wa-bodi-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy