JUVENTUS YAMSAJILI DOUGLAS COSTA KWA MKOPO

Klabu ya Juventus imethibitisha kumsajili Douglas Costa kutoka Bayern Munich kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja.
Winga huyo amejiunga klabuni hapo kwa pauni milioni 5 lakini kuna kipengele kinachoipa nafasi Juventus kumsajili moja kwa moja kwa pauni milioni 35.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post