KENYA: NYUMBA YA MAKAMU WA RAIS YAVAMIWA

Makamu wa Rais William Ruto .
Watu wenye silaha mchana wa Jumamosi wamevamia nyumbani kwa Makamu wa Rais William Ruto eneo laSugoi, Kaunti ya Uasin Gishu.
Habari kutoka eneo hilo zinasema watu hao walimzidi nguvu ofisa wa polisi aliyekuwa analinda geti na kuingia ndani.
Uvamizi huo umekuja siku moja baada ya wanamgambo wa Al Shabaab kuliteka gari la kampeni la msafara wa chama cha Jubilee katika eneo la Mandera.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post