LULU DIVA : NYOTA ANAYECHUKIZWA NA KIKI TANZANIA

Karne 20 ilileta maendeleo makubwa katika elimunafsia (saikolojia). Hivyo binadamu ambaye ni kiumbe aliyeumbwa kwa nafsi, roho na mwili anaweza kutambua vizuri mema na mabaya yaliyomo ndani mwake.
Lakini akitaka kujifahamu haitoshi asikilize mafundisho hayo au kusoma vitabu vingi juu yake. Kuna mambo mengine anahitajika binadamu huyu ayafanye.
Anahitaji kuishi katika mazingira bora ili ajisikie nyumbani, huru na mtulivu kwa kupendana na wenzake, kusikiliza watu wanaomfahamu (hasa walezi wake) wanasema nini juu yake, kujipatia muda wa kutulia peke yake na kujifikiria kulingana na maneno yao, kujichunguza kwa makini kuanzia miaka ya utotoni.
Kwa kuwa utu unategemea urithi, mazingira na utashi wa kila mmoja, anapaswa kuchunguza hayo yote yaliyochangia kumjenga.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post