MADAI YA PETIT MAN KUMFUMANIA ESMA UNDANI NI HUU!

SHARE:

Esma Abdulkadiri na Hamad Manungwa ‘Petit Man’ NDOA ya mastaa wawili, Esma Abdulkadiri na Hamad Manungwa ‘Petit Man’ inadaiwa kuwa ...

Esma Abdulkadiri na Hamad Manungwa ‘Petit Man’

NDOA ya mastaa wawili, Esma Abdulkadiri na Hamad Manungwa ‘Petit Man’ inadaiwa kuwa kwenye machafuko baada ya juzikati kuvuja madai kuwa, Petit alimfumania mkewe na jamaa mwingine, Risasi lina undani na ukweli wa habari hiyo.

Chanzo ambacho kiliomba hifadhi ya jina lake awali kilidai kuwa, wawili hao waliibua varangati la aina yake na kusababisha kufunga mtaa maeneo ya Tandale jijini Dar wanakoishi kutokana na kile kilichodaiwa ni Petitkumfuma Esma na mwanaume mwingine.

“Yaani ilikuwa ni patashika nguo kuchanika kwani ilikuwa ni timbwili la aina yake baada ya Petit kudai amemfumania mkewe na mwanaume mwingine, hali iliyosababisha watu kibao kufurika pale wanapoishi Tandale,” kilidai chanzo hicho.

Baada ya kuinyaka ishu hiyo, Risasi Jumamosi lilianza kwa kumtafuta Esma ambaye kwanza aliangua kicheko kasha akasema kuwa anawashangaa watu wanaoeneza uvumi huo kwani kwenye maisha yake hajawahi kufumaniwa na haitatokea, isipokuwa ilitokea hali ya kutoelewana na watu kudhani alifumaniwa.

“Kugombana ni kawaida kwenye uhusiano lakini watu wanatakiwa kuuliza nini kimetokea siyo kuanza kuzusha maneno, ilikuwa ni kwenye bethidei ya B-12, sasa wakati tunakaribia kuondoka Petit Man alikuwa amelewa sana akawa anafanya fujo, sikupenda nikaamua kuondoka.

“Alipofi ka nyumbani ikatokea ugomvi mkubwa akinilaumu kwa nini niliondoka nikamuacha kule, sasa yale makelele kwa jinsi tulivyokuwa tunazozana nahisi majirani walisikia wakaelewa tofauti na kueneza uvumi huo kwamba nilifumaniwa, ila tumeshayamaliza tupo sawa,” alisema Esma.

Kwa upande wake Petit Man alipotafutwa na kuulizwa kuhusu madai hayo ya kumfumania mkewe na mwanaume mwingine alisema: “Ni kweli ulitokea mtafaruku baina yetu lakini tumeshayamaliza haya mambo kifamilia.”

STORI: NA WAANDISHI WETU | RISASI JUMAMOSI

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MADAI YA PETIT MAN KUMFUMANIA ESMA UNDANI NI HUU!
MADAI YA PETIT MAN KUMFUMANIA ESMA UNDANI NI HUU!
https://1.bp.blogspot.com/-0BeeUOSA3E4/WXxuJU2WsvI/AAAAAAAAdJc/3wvVHqMV_XEUydb5OrRsrjGxukG6VTwNgCLcBGAs/s1600/esma-4.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-0BeeUOSA3E4/WXxuJU2WsvI/AAAAAAAAdJc/3wvVHqMV_XEUydb5OrRsrjGxukG6VTwNgCLcBGAs/s72-c/esma-4.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/madai-ya-petit-man-kumfumania-esma.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/madai-ya-petit-man-kumfumania-esma.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy