MBOWE AIBURUZA SERIKALI MAHAKAMANI

SHARE:

Mbunge wa Hai mkoani Kilimanjaro, Freeman Mbowe amefugua kesi mahakamani dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Hai, Dk Gelasius Byakanwa akimdai fid...

Mbunge wa Hai mkoani Kilimanjaro, Freeman Mbowe amefugua kesi mahakamani dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Hai, Dk Gelasius Byakanwa akimdai fidia ya zaidi ya Tsh milioni 549.3
Mbowe kupitia Kampuni ya Kilimanjaro Veggies Ltd amefungua kesi hiyo katika Mahakama Kuu Kanda ya Moshi akidai kiasi hicho cha fedha kufuatia kiongozi huyo kuongoza uharibifu wa miundombinu ya umwagiliaji katika shamba lake la mbogamboga Juni 19 mwaka huu.
Katika hati ya mashtaka ya kesi hiyo, Mbowe amemshtaki Dk Byakanwa kama mtu binafsi akimtuhumu kuingia kinyemela kwenye shamba lake na kufanya uharibifu wa mali.
Kesi hiyo ambayo ipo chini ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Moshi, Aishael Sumari, ilifunguliwa Juni 30, na ina mashauri mawili ambayo ni shauri la ardhi namba 20/2017 na maombi madogo namba 51/2017.
Katika maombi madogo, mshtaki anaiomba mahakama iweke zuio la kudumu kwa mshtakiwa kutoingilia tena shughuli za Kampuni ya Kilimanjaro Veggies Ltd ambayo inafanyakazi zake katika Kijiji cha Nshara, Kata ya Machame Kaskazini, wilayani Hai, Mkoa wa Kilimanjaro.
Aidha, katika shtaka lingine, mshtaki anaiomba mahakama imuamuru mshtaki alipe fidia maalumu Tsh 549.3 inayotokana na uharibifu wa mali, usumbufu walioupata pamoja na hasara ya KVL. Kampuni hiyo inaiomba mahakama imuamuru  mshtakiwa pia, alipe riba ya 25% ya fedha hizo pamoja na kulipa gharama za uendeshaji kesi hiyo.
Jaji Mfawidhi alitaka mshtakiwa apelekewe nyaraka za kesi hiyo na awe amewasilisha majibu kabla ya usikilizwaji wa maombi Julai 17.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MBOWE AIBURUZA SERIKALI MAHAKAMANI
MBOWE AIBURUZA SERIKALI MAHAKAMANI
https://3.bp.blogspot.com/-ryHmxDAfa3c/WWT2PMH9zyI/AAAAAAAAcwE/qdKiSXc5KGwSadyKZXXeROEMkpeDLjs6wCLcBGAs/s1600/xMBOWE-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.GGKj6VgdTW.webp
https://3.bp.blogspot.com/-ryHmxDAfa3c/WWT2PMH9zyI/AAAAAAAAcwE/qdKiSXc5KGwSadyKZXXeROEMkpeDLjs6wCLcBGAs/s72-c/xMBOWE-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.GGKj6VgdTW.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/mbowe-aiburuza-serikali-mahakamani.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/mbowe-aiburuza-serikali-mahakamani.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy