MH! KWA PICHA HIZI LULU NI KIBOKO!

Lulu na mama yake.
Staa wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu, ameingia kwenye rekodi ya mastaa wenye picha kali kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii hususan Instagram.

Lulu mwenyewe akipendeza.

Lulu ameingia kwenye rekodi hiyo baada ya hivi karibuni  kuchafua mtandaoni kwa kuposti picha akiwa na familia yake, picha ambayo watu wengi wamemsifia kutokana na uzuri wa gauni alilolivaa sare na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake wa kiume.

…akiwa na mdogo wake wa kiume.

Hakika Lulu apendeza, hadi anataka kupaa?.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post