MKATABA MPYA WA LIONEL MESSI NI KUFURU

Mshambuliaji nyota wa Klabu ya Barcelona, Lionel Messi amekubali kutia saini mkataba mpya ambao utamuweka katika klabu hiyo hadi mwaka 2021.
Mchezaji huyo anatarajiwa kutia saini mkataba huo atakaporejea kushiriki mazoezi ambapo imetajwa kuwa unaweza kumfanya alipwe pauni 500,000 kwa wiki.
Ikumbukwe kuwa Messi alifunga ndoa mwishoni mwa wiki mjini Rosario, Argentina.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post