MKUU WA MKOA DAR APOKEA TAARIFA YA “OPARESHENI TOKOMEZA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI”

SHARE:

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda akipokea moja ya vipuri wakati alipopokea ripoti ya maagizo ya siku saba aliyoyatoa...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda akipokea moja ya vipuri wakati alipopokea ripoti ya maagizo ya siku saba aliyoyatoa kwa Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam DCP Lucas Mkondyakulia anayemkabidhi kipuri hicho leo.
VIPU2
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda akiangaliwa baadhi ya vipuri vilivyokamatwa na polisi katika msako wa wezi wa vipuri vya magari kulia ni Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam DCP Lucas Mkondya
…………………………………………………………………………
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amepokea ripoti ya maagizo ya siku saba aliyoyatoa kwa Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam DCP Lucas Mkondya kuhakikisha wanatokomeza wizi wa vifaa vya magari.
Katika operesheni hiyo jumla ya watuhumiwa 73 walikamatwa na vifaa vya Magari vilivyoibiwa ikiwmo Power Window 40, Radio 12Taa za Magari 105, Side Mirrors 92, Vitasa vya Magari 109,Bampa 4, Air Cleaner 1, Booster 3, Show Grill 6, Mashine moja ya kupandisha vioo na Tyre zilizotumika 2.
Akizungumza baada ya kupokea Ripoti hiyo Makonda amewataka wananchi wote waliopotelewa au kuibiwa vifaa vya magari kufika Jeshi la Polisi kanda Maalumu kwa Kamanda Lucas Mkondya kwaajili ya kurudishiwa vifaa vyao bila malipo.
Aidha Makonda ameliagiza tena Jeshi la Polisi kusambaratisha wafanyabiashara wa magari (Madalali) wanaofanya biashara ya kuuza magari katika maeneo yasiyo rasmi na kusababisha serikali kukosa mapato.
“Sitaki kuona wafanyabiashara wa magari wanaofanya biashara kama udalali, magari yale hawalipii kodi na wanafanya biashara barabarani na wamechukuwa maeneo na mwisho wa siku kuwa kero kwa wananchi, ukienda maeneo ya Mlimani City kuna vijiwe, Mnazi mmoja nako wapo na sehemu nyingine, kuanzia leo watafute au wajiunge na watu wenye leseni ya kuuza magari ili na Serikali ipate Mapato” Alisema Makonda.
Mbali na hilo pia ameagiza Jeshi hilo kutokomeza maeneo ambayo yamekuwa yakitumika kama bandari Bubu na kusambaratisha wezi wa Magari ambao pia wamekuwa wakiiba Magari na kuuza kifaa kimojakimoja.
Amewasisitiza wananchi wote wanaokwenda kununua vifaa vya magari kuhakikisha wananunua kwenye maduka yaliyosajiliwa na pindi wanaponunua wahakikishe wanapatiwa risiti.
Kwa Upande wake Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam DCP Lucas Mkondya amesema kuwa watahakikisha wanatekeleza maagizo hayo kwa wakati huku akisisitiza kuwa oparesheni hizo ni endelevu

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MKUU WA MKOA DAR APOKEA TAARIFA YA “OPARESHENI TOKOMEZA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI”
MKUU WA MKOA DAR APOKEA TAARIFA YA “OPARESHENI TOKOMEZA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI”
https://2.bp.blogspot.com/-jIfpgiLGd_o/WXy_omAVZdI/AAAAAAAAdK4/8g_aByX3GhwHFUCX4rtaeZ__yIa4qDqHACLcBGAs/s1600/VIPU1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-jIfpgiLGd_o/WXy_omAVZdI/AAAAAAAAdK4/8g_aByX3GhwHFUCX4rtaeZ__yIa4qDqHACLcBGAs/s72-c/VIPU1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/mkuu-wa-mkoa-dar-apokea-taarifa-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/mkuu-wa-mkoa-dar-apokea-taarifa-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy