MSANII MWINGINE WA BONGO FLEVA APIGA PICHA YA UTUPU

Kwa maadili ya kitaanzani, ni kosa kupiga picha inayoonyesha sehemu au viungo vyako vya siri. Mambo kama haya yamezoeleka kufanyika katika nchi za magharibi na nchi nyingine zilizoendelea.
Hii inasababisha tukio kama hilo linapotokea kuwashangaza watu wengi kwani ni kitu ambacho hakijazoeleka miongoni mwao.
Itakumbukwa siku za hizi karibuni mashabiki wa muziki na watu wengine walimshambulia mwanamuziki Ben Pol baada ya kuweka picha Instagram inayoonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.
Kama hiyo haitoshi, mwanamuziki Malaika anayetamba na wimbo wa Rarua jana aliweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram inayoonyesha sehemu ya maziwa yake kitu kilichopelekea watu wengi kuweka maoni yaliyoonyesha kuchukizwa.
Baada ya mashabiki zake na watumiaji wengine wa Instagram kumsema sana, msanii huyo aliitoa picha hiyo na kuweka nyingine ambayo aliandika ๐Ÿ˜˜ Your support is really appreciated. I posted a picture that I thought was edited earlier I apologise if it offended anyone ๐Ÿ™‚ Weekend is here so relax ๐Ÿ˜˜

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post