MSANII WA BONGO MOVIE AANZISHA KANISA LAKE

Msanii wa Filamu nchini, Pastor Myamba ameanzisha Kanisa lake lililopo eneo la Kigamboni, Jijini Dar es Salaam.
Myamba amesema hatua hiyo ni utekelezaji wa ndoto yake ya zaidi ya miaka kumi aliyokuwa nayo tangu awali.
“Kanisa langu halitakuwa kwa ajili ya watu kuhama kutoka katika makanisa yao na kuja kwangu, bali ni kwa ajili ya wale watu wasio na makanisa na wasioenda kanisa lolote,” amesema.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post