MWENDOKASI YAIPA SHAVU DAR, YASHINDA TUZO ZA MSAFIRISHAJI BORA DUNIANI

SHARE:

Jiji la Dar es Salaam limeibuka mshindi wa 28 wa tuzo za msafirishaji bora duniani, huku ikiwa nchi pekee kutoka Afrika kushinda tuzo hiy...

Jiji la Dar es Salaam limeibuka mshindi wa 28 wa tuzo za msafirishaji bora duniani, huku ikiwa nchi pekee kutoka Afrika kushinda tuzo hiyo kwa mwaka huu.
Hayo yamesemwa na  Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa upanuzi wa lango kuu la Bandari ya Dar es Salaam.
“Nikupe hongera wewe Mheshimiwa Rais na Serikali yako, kwa sababu jiji la Dar es Salaam limeteuliwa kuwa mshindi wa 28 wa tuzo ya msafirishaji wa dunia,” amesema Bella.
“Ushindi huo ni kupitia mradi wa UDA-RT (mabasi ya mwendo wa haraka), kwa hiyo napenda nikupongeze katika hilo,” amesema Bella.
Bella pia amepongeza jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali katikia kuboresha miundombinu na huduma za usafiri nchini na kuahidi kuwa benki hiyo itaendelea kushirikiana na serikali kuendelea kuboresha miundombinu na huduma mbalimbali.
Kwa sasa mradi wa mabasi yaendayo haraka unasafirisha takribani watu 200,000 wa siku.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MWENDOKASI YAIPA SHAVU DAR, YASHINDA TUZO ZA MSAFIRISHAJI BORA DUNIANI
MWENDOKASI YAIPA SHAVU DAR, YASHINDA TUZO ZA MSAFIRISHAJI BORA DUNIANI
https://1.bp.blogspot.com/-0JrrH9ISjz0/WVn0k7clv7I/AAAAAAAAcnA/ct7ZF1gm4pEDRK5kemYTVkAZOCotvznqgCLcBGAs/s1600/mabasi-DART.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-0JrrH9ISjz0/WVn0k7clv7I/AAAAAAAAcnA/ct7ZF1gm4pEDRK5kemYTVkAZOCotvznqgCLcBGAs/s72-c/mabasi-DART.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/mwendokasi-yaipa-shavu-dar-yashinda.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/mwendokasi-yaipa-shavu-dar-yashinda.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy