PICHA: MTOTO WA RAIS KIKWETE ALAZWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana alimjulia hali Khalfan Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete aliyelazwa katika wodi ya Sewa Haji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana amemjulia hali mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Khalfan Kikwete ambaye amelazwa katika wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Pichani kulia ni Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete akiwa na Mkewe Salma Kikwete.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post