PICHA: TAZAMA JINSI MWANAMUZIKI ALIVYOPUNGUA RICK ROSS ALIVYOPUNGUA UNENE

SHARE:

Mwanamuziki wa hip hop wa nchini Marekani Rick Ross kwa sasa amepungua unene ambao mashabiki wake wengi walizoea kumuona na yawezekana kw...

Mwanamuziki wa hip hop wa nchini Marekani Rick Ross kwa sasa amepungua unene ambao mashabiki wake wengi walizoea kumuona na yawezekana kwa baadhi ya watu ambao hawajaona picha zake kwa muda mrefu, sasa watashangazwa kwa mabadiliko makubwa aliyonayo.
“Sasa hivi nimekuwa nakula vizuri, nafanya mazoezi na kuhakikisha nakuwa fiti muda wote na bado najisikia furaha na muonekano wangu kama kawaida,” alisema Ross kuliambia jarida la ‘PEOPLE.’
Ross amesema kwamba kupungua unene kumefanya ajisikie “vizuri zaidi ya ilivyokuwa mwanzo.”
Mwanzo, Rick Ross alilazimika kupungua zaidi ya kilo 34 alipoambiwa na daktari wake kufanya hivyo baada ya viungo vyake vya mwili kupooza ghafla ndani ya kipindi cha saa mbili tu toka apate tukio hilo mwaka 2011. Kabla ya kushauriwa kufanya hivyo, Ross alikuwa na uzito wa kilo 159 ambao ndio uzito mkubwa zaidi aliowahi kuwa nao maishani. Alianza kufanya mabadiliko yaliyosaidia kupungua unene.
Rick Ross ambaye mwanzo alikuwa akipenda kuonesha ubabe kutokana na ukubwa wa mwili wake, sasa anafurahiwa na wengi hasa walio wanene sana kwa kuwahamasisha kupungua na kufikia mafanikio yake.
“Nafurahi sana, bado naendelea kupunguza unene na sasa naanza kuongeza misuli badala ya minyama uzembe.”
Tazama picha zifuatazo kuona mabadiliko hayo:

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: PICHA: TAZAMA JINSI MWANAMUZIKI ALIVYOPUNGUA RICK ROSS ALIVYOPUNGUA UNENE
PICHA: TAZAMA JINSI MWANAMUZIKI ALIVYOPUNGUA RICK ROSS ALIVYOPUNGUA UNENE
https://3.bp.blogspot.com/-f-SmFx8Ydl4/WXDg5MwyUWI/AAAAAAAAc2s/fmi7D9AAuR85AnoH0ApOJBsv1Bf4DpWnQCLcBGAs/s1600/xiin-2010-620x375.jpg.pagespeed.ic.j5vNcIgWBA.webp
https://3.bp.blogspot.com/-f-SmFx8Ydl4/WXDg5MwyUWI/AAAAAAAAc2s/fmi7D9AAuR85AnoH0ApOJBsv1Bf4DpWnQCLcBGAs/s72-c/xiin-2010-620x375.jpg.pagespeed.ic.j5vNcIgWBA.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/picha-tazama-jinsi-mwanamuziki.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/picha-tazama-jinsi-mwanamuziki.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy