RAIS MAGUFULI KUMNYANG’ANYA MBUNGE WA CCM VIWANDA ANAVYOMILIKI

SHARE:

Rais Dkt John Pombe Magufuli mara nyingi husema kuwa yeye si mnafiki na huwa anapenda kusema ukweli kuliko kukaa na vitu ambavyo vitamuum...

Rais Dkt John Pombe Magufuli mara nyingi husema kuwa yeye si mnafiki na huwa anapenda kusema ukweli kuliko kukaa na vitu ambavyo vitamuumiza moyo. Jana aliendelea kushikilia msimamo huo baada ya kumshukia Mbunge wa Morogoro Mjini, Aziz Abood akimtaka kuvirejesha serikali viwanda alivyobinafsishiwa kama hawezi kuviendeleza.
Rais Magufuli alitoa kauli hiyo jana aliposimama kuzungumza na wananchi katika Kituo cha Mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro ambapo alikuwa akisiistiza wafanyabiashara kuviendeleza viwanda walivyonunua kutoka serikali na sio kubadilisha na kufanyia shughuli zao nyingine.
Alisema kwamba, haijalishi aliyenunua kiwanda kutoka serikalini yupo chama gani, lakini kama hawezi kukiendeleza basi akirudishe mwenyewe ili serikali iwape wawekezaji wengine wenye nia na uwezo wa kuviendeleza.
“Narudia wito wangu niliokwishatoa kwamba, wenye viwanda hapa Morogoro ambao wameshindwa kuviendeleza, na leo nataja, akiwemo Mbunge wa hapa CCM, narudia akiwemo Mbunge wa hapa CCM, alibinafsishiwa viwanda vingi, kama ameshindwa kuviendesha, arudishe ili tuwape watu wengine kwa sababu vijana hawa wanakosa ajira. Nazungumza kwa uwazi kwa sababu msema kweli ni mpenzi wa Mungu,” alisema Rais Magufuli.
Wakati Rais akitoa kauli hiyo alipokuwa akirejea Dar es Salaam akitokea Makao Makuu ya Nchi, mjini Dodoma, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametoa siku 19 kuanzia leo kwa watu wote waliobianfisishiwa viwanda kuviendeleza ama la watanyang’anywa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwijage alisema serikali itavichukua viwanda 54 kati ya 156 vilivyobinafsishwa kati ya mwaka 1992 hadi 2004 ambavyo havijaendelezwa ifikapo Agosti 15 mwaka huu.
Waziri Mwijage alisema lengo la kuchukua viwanda hivyo ni ili wapewe wawekezaji wengine wenye nia na uwezo wa kuviendeleza kusudi vitoe ajira kwa vijana wengi ambao wanamaliza vyuo na kukaa mtaani bila ajira.
Katika kuhakikisha viwanda vinafanya kazi, Waziri Mwijage alisema kwa wale wote ambao wanapata ugumu kuviendesha, Taasisi ya Utafiti wa Viwanda na Maendeleo (TIRDO) na Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) watatoa msaada ya kitaalamu wa namna bora ya kuviendesha viwanda hivyo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RAIS MAGUFULI KUMNYANG’ANYA MBUNGE WA CCM VIWANDA ANAVYOMILIKI
RAIS MAGUFULI KUMNYANG’ANYA MBUNGE WA CCM VIWANDA ANAVYOMILIKI
https://1.bp.blogspot.com/-dRoQ3L7Uj_o/WXs_-Lc9sNI/AAAAAAAAdHo/-B6d0df70vIVEZgfJ1nxeeUHY5V3RGQMgCLcBGAs/s1600/x1-2-7-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.BFQ7w96QSu.webp
https://1.bp.blogspot.com/-dRoQ3L7Uj_o/WXs_-Lc9sNI/AAAAAAAAdHo/-B6d0df70vIVEZgfJ1nxeeUHY5V3RGQMgCLcBGAs/s72-c/x1-2-7-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.BFQ7w96QSu.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/rais-magufuli-kumnyanganya-mbunge-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/rais-magufuli-kumnyanganya-mbunge-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy