RIO FERDINAND AFIWA NA MAMA YAKE

Beki wa zamani wa Man United, Rio Ferdinand amefiwa na mama yake, Janice St Fort (58) aliyekuwa akisumbuliwa na saratani.
Tukio hilo limekuja ikiwa ni miaka miwili tangu beki huyo ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa soka alipofiwa na mkewe kutokana na ugonjwa huohuo.
Baada ya taarifa hiyo ya msiba wa mama mtu, Klabu ya Manchester United ilituma salamu za rambirambi kwa Rio na familia yake kwa msiba huo mzito.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post