SHAFFIH DAUDA AJITOA KWENYE UCHAGUZI WA TFF KWA TUHUMA ZA RUSHWA

SHARE:

Mtangazaji wa Clouds Media Group, Shaffih Dauda ametangaza kujitoa rasmi katika kinyang’anyiro cha kuwania Ujumbe wa Kamati ya Utendaji w...

Mtangazaji wa Clouds Media Group, Shaffih Dauda ametangaza kujitoa rasmi katika kinyang’anyiro cha kuwania Ujumbe wa Kamati ya Utendaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kufuatia tuhuma za rushwa zinazomkabili.
Shaffih ambaye ni mmoja wa wachambuzi maarufu wa soka nchini ametangaza uamuzi huo mapema leo asubuhi Julai 28 wakati akizungumza kupitia kipind cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds Tv.
Akieleza sababu za uamuzi huo, Shaffih amesema kuwa imekuwa ni kazi ngumu ya miaka mingi kuweza kulijenga jina lake hadi kufikia hapo alipo leo, hivyo hawezi kuacha tuhuma hizo za rushwa zinazomkabili sababu ya uchaguzi wa TFF ziendelee kumchafua.
“Nimetumia muda mrefu kujenga brand yangu hakuna haja kuendelea kung’ang’ania. Suala la Rushwa ni kunichafua na mimi sitaki,” alisema Shaffih.
Uamuzi huu umekuja ikiwa ni siku chache tu tangu alipokamatwa na kuhojiwa na TAKUKURU yeye na wenzake kwa tuhuma za kupanga kufanya vitendo vya rushwa jambo ambalo alilikanusha vikali.
Shaffih alisema alikuwa kwenye kikao na viongozi wa soka Mkoa wa Mwanza, Mbeya na wengine wa jirani kwa sababu wanataka kuanzisha michuano ya Ndondo Cup katika mikoa hiyo, na si kweli kwamba walikutana kwa ajili ya suala la uchaguzi wa TFF.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SHAFFIH DAUDA AJITOA KWENYE UCHAGUZI WA TFF KWA TUHUMA ZA RUSHWA
SHAFFIH DAUDA AJITOA KWENYE UCHAGUZI WA TFF KWA TUHUMA ZA RUSHWA
https://3.bp.blogspot.com/-2dDUaw8hV6Q/WXs-UdspJpI/AAAAAAAAdHY/tyCUu53qkQE54JWRcObQRk---0MVVDTSgCLcBGAs/s1600/xC-k5XsvXoAAZINO-750x375.jpg.pagespeed.ic.v3oWKF6oCH.webp
https://3.bp.blogspot.com/-2dDUaw8hV6Q/WXs-UdspJpI/AAAAAAAAdHY/tyCUu53qkQE54JWRcObQRk---0MVVDTSgCLcBGAs/s72-c/xC-k5XsvXoAAZINO-750x375.jpg.pagespeed.ic.v3oWKF6oCH.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/07/shaffih-dauda-ajitoa-kwenye-uchaguzi-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/07/shaffih-dauda-ajitoa-kwenye-uchaguzi-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy