SHILOLE KUTOKA NA KIGOLI

Mwanamuziki mwenye jina hapa Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
MWANAMUZIKI mwenye jina hapa Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameibuka na kusema kuwa yupo mbioni kutoa Ngoma ya Kigoli mwishoni mwa mwezi huu ambao utakuwa na ma­hadhi ya Afropop.
Shilole ambaye amewahi kutamba na nyimbo zake kadhaa zikiwemo Say My Name, Hatutoi Kiki, Malele na nyinginezo kibao, amese­ma ngoma hiyo ina ujumbe mzuri kwa jamii hivyo mashabiki wake wajiandae kuipokea.
“Natarajia kutoa wimbo mpya mwishoni mwa mwe­zi huu, nimeimba mahadhi ya Afropop naamini uki­toka tu na watu wakiusikia utakuwa funzo kwa jamii kutokana na ujumbe uli­omo humo,” alisema Shilole.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post