SINGIDA UNITED NI BALAA, WANUNUA BASI LA SH MILIONI 350

Uongozi wa Klabu ya Singida United umesema kuwa, basi lao litakalotumiwa na wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo kwa msimu ujao limewagharimu zaidi ya Sh milioni 350.
Mratibu wa timu hiyo, Festo Sanga amesema uongozi umenunua basi hili lenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 350 ambalo litakuwa likitumiwa na timu popote itakapoenda kucheza mechi zake kwa msimu ujao.
Jana Jumatatu timu ilikwenda Mwanza kuweka kambi itakayoanza leo Jumanne, ambapo wanatarajiwa kucheza mechi 10 za kirafiki, tano ni dhidi ya timu za ndani ya nchi na zilizobaki tutacheza na timu kutoka nje ya Tanzania.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post